Rais wa Venezuela Nicolas Maduro asema rais wa Colombia na waasi wa ndani ya nchi ndio waliohusika na jaribio la mauaji dhidi yake lilotokea hapo jana. Iran yanunua ndege 5 siku moja kabla kuwekewa tena vikwazo na Marekani. Na, Wahamiaji wapatao 400 waokolewa baharini Uhispania.