Urusi yasema Ukraine haitakuwa salama kama itaishambulia nchi hiyo Mei 9 wakati wa maadhimisho ya ushindi wa Umoja wa Kisovieti, dhidi ya utawala wa Kinazi wa Ujerumani katika vita vya pili vya dunia. Mjumbe wa Umoja wa Mataifa alaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Syria. Zaidi ya watu 7 wameuwawa baada ya hospitali ya MSF kushambuliwa Sudan Kusini