Katika uchambuzi wa ripoti Jumamosi ya leo; ni pamoja na mashambulizi ya Israel huko Lebanon; Ufaransa na Uingereza zahimiza juu ya Ukraine kuhakikishiwa kuhusu kuendelea kwa mpango wa kupelekwa kikosi cha wanajeshi wa Ulaya nchini humo; Na vile utasikia mzozo wa Kongo.