Katika kila kona ya Afrika Mashariki, wapo mashujaa wa kiutu wasiopewa nafasi kwenye vichwa vya habari, lakini kazi zao zinaacha alama kubwa.Katika ukursa huu tunawaadhimisha mashujaa hawa wa kiutu.