You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Martin Schulz
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Nchi 3 za Ulaya zalaani "vitisho" dhidi ya Mkuu wa IAEA
Iran imesema si tishio kwa mkuu huyo wa IAEA lakini inamtuhumu Grossi kwa kuchochea mashambulizi ya kwanza ya Israel.
Urusi yaendelea kuchukua udhibiti wa maeneo ya Ukraine
Taarifa hiyo haijathibitishwa na vyanzo kutoka Ukraine wala Wizara ya Ulinzi ya Urusi.
Urusi yafanya mashambulizi makubwa dhidi ya Ukraine
Hatua hizi za kujibu zinaangazia hali ya majibizano ya mashambulizi kati ya pande hizo mbili.
Wadephul: Urusi inahatarisha amani na uhuru wa Ujerumani
Wadephul amepongeza pia maamuzi ya hivi karibuni ya Jumuiya ya kujihami ya NATO.
Scholz aonya kuhusu mustakabali wa Ulaya
Scholz, ametoa hotuba ya kuaga katika kongamano la chama cha SPD, akionya kuhusu mustakabali wa Ulaya:
Israel na Iran zathibitisha mpango wa kusimamisha mapigano
Hata hivyo uimara wa makubaliano hayo unalegalega kutokana na ripoti kuhusu kutokea mashambulizi mapya
Ujerumani, Ufaransa, UK zaahidi kuongeza matumizi ya ulinzi
Hatua hiyo inatarajiwa pia kuchukuliwa na Uingereza kama alivyoeleza Waziri Mkuu Keir Starmer.
Ujerumani yaadhimisha Siku ya Mashujaa kwa wanajeshi wote
Siku ya Mashujaa itaadhimishwa Juni 15 kila mwaka wikendi iliyotangulia au baada ya siku hii.
Pistorius akataa Ujerumani kubadili sera kuelekea Urusi
Pistorius amekataa wito kutoka wenzake wa SPD wanaoitaka serikali ya Ujerumani kurekebisha sera yake kuelekea Urusi.
Ujerumani yaahidi msaada zaidi kwa Ukraine
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani, amewasili mjini Kyiv, kujadili msaada zaidi kwa Ukraine.
Ujerumani iliwapa uraia wageni wengi mwaka 2024
Ujerumani iliweka rekodi katika historia yake kwa kuwapa watu wengi uraia mwaka 2024 kukiwa na ongezeko la asilimia 46.
Friedrich Merz aleta mtindo mpya wa siasa nchini Ujerumani
Ziara ya Merz mjini Washington imesifiwa kama mtindo mpya wa siasa nchini Ujerumani.
Wakimbizi waliokataliwa kuingia Ujerumani warejeshwa Berlin
Raia watatu wa Somalia waliokataliwa kuingia Ujerumani katika mpaka wake na Poland, sasa wapo katika mji mkuu Berlin.
Merz aonya ushuru wa Trump kuuathiri uchumi wa Ujerumani
Merz amekutana na Trump na kuonya juu ya athari za ushuru wa Trump kwa sekta ya magari ya Ujerumani.
Kansela wa Ujerumani kukutana na Trump licha ya tofauti zao
Kansela Merz ana matumaini ya kujenga uhusiano wa kibinafsi na Rais wa Marekani Donald Trump, Je atafaulu?
Taasisi ya GHF kufungua tena vituo vyake Gaza
Jeshi la Israel limerejesha nchini miili ya mateka wawili kutoka Gaza
Polisi Ujerumani ina wasiwasi kuhusu waomba hifadhi
Kansela wa Ujerumani, Friedrich Merz, ametetea sana sera mpya ya uhamiaji.
Ujerumani, Uingereza kuongoza mkutano wa msaada kwa Ukraine
Mkutano wa mawaziri wa ulinzi wa NATO kuhusu Ukraine kufanyika kesho mjini Ubelgiji
Mhafidhina Narowcki ndiye rais mpya wa Poland
Mhafidhina Karol Nawrocki ameshinda uchaguzi wa Poland kwa tofauti ndogo ya kura na sasa yeye ndiye rais mpya wa taifa h
Wanadiplomasia wa Ujerumani, Marekani wakutana Washington
Mazungumzo yao yamegusia mizozo ya Ukraine na Mashariki ya Kati, ushirikiano wa kiusalama, na mpango wa nyuklia wa Iran
Ujerumani imeiahidi Ukraine uungaji mkono mkubwa Ukraine
Ujerumani imeiahidi Ukraine uungaji mkono mkubwa Ukraine
Ujerumani, Finland zashinikiza misaada kuingia Gaza
Kansela Friderich Merz na Wazir Mkuu Petteri Orpo wameyasema hayo walipokutana pembezoni mwa mkutano wa Nordic.
Kansela Merz aikosoa Israel kwa inachofanya Gaza
-
Ujerumani yatishia hatua dhidi ya Israel kuhusiana na Gaza
Merz amebainisha kuwa bado hakuna uamuzi wa mwisho kuhusu uhusiano wa kijeshi na Israel.
Ujerumani yaikosoa Israel kwa vita vyake huko Gaza
Jeshi la Israel latoa agizo jipya la watu kuhama kutoka katika eneo la kusini mwa mji wa Khan Yunis
Merz asema matendo ya Israel Gaza 'hayana tena uhalali'
Merz anaungana na viongozi kadhaa wa Ulaya walioonyesha kuchochwa na mauaji ya raia yasiokoma katika Ukanda wa Gaza.
Sheria mpya kuzuia familia kuungana Ujerumani
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ujerumani Alexander Dobrindt amesema ya uhamiaji nchini Ujerumani imebadilika.
Wataalamu watabiri uchumi wa Ujerumani hautakua mwaka 2025
Hata hivyo, wana matumaini kuwa mpango mpya wa kifedha unaweza kusaidia kuufufua uchumi huo kuanzia mwaka ujao.
Ujerumani na Nigeria zikubaliana kuimarisha ushirikiano
Berlin inaiona Nigeria kama mshirika muhimu katika ukanda mzima wa Afrika Magharibi.
Israel na viongozi duniani walaani shambulizi la Washington
Israel kuimarishwa usalama katika balozi zake zote ulimwenguni kufuatia mauaji ya raia wake mjini Washington.
Israel yazidi kukabiliwa na mbinyo wa kimataifa kuhusu Gaza
Papa Leo XIV ameongeza sauti yake miongoni mwa walioguswa na janga hili na kutoa wito wa kuruhusu misaada.
Ujerumani yawakamata vijana wa siasa kali za mrengo wa kulia
Washukiwa hao ni wavulana walioanzisha kundi linalojiita "wimbi la mwisho la ulinzi" la kulinda "taifa la Ujerumani".
Ujerumani yawatia nguvuni vijana waliopanga mashambulizi
Polisi ya Ujerumani leo imewakamata vijana watano wanaotuhumiwa kuanzisha kundi la wanamgambo la siasa kali za mrengo wa
Uhalifu wa kisiasa waongezeka Ujerumani
Ofisi ya Polisi ya Shirikisho ya Kupambana na Uhalifu Ujerumani imesema Uhalifu wa kisiasa umeongezeka Ujerumani.
Utafiti: Itikadi kali bado tishio katika jeshi la Ujerumani
Uchunguzi wa ndani kuhusu mitazamo mikali ndani ya jeshi la Ujerumani umebaini kuwa hakuna msimamo mkali wa kimfumo.
Ujerumani: China ina "jukumu muhimu la amani ya kimataifa"
Wizara ya mambo ya nje ya Ujerumani imesema vita vya Urusi nchini Ukraine vinaathiri maslahi ya msingi ya bara Ulaya.
Kansela Merz wa Ujerumani yuko ziarani Italia leo
Viongozi hao wawili watakutana kwa mazungumzo katika makazi rasmi ya waziri mkuu ya Palazzo Chigi.
Baerbock aapa kuwa mpatanishi kuliongoza Baraza Kuu la UN
Waziri wa zamani wa mambo ya kigeni wa Ujerumani Annalena Baerbock ameapa kuhakikisha "mitazamo ya maeneo na makundi yot
Wademocrat wampinga Trump kuiuzia silaha UAE
Wanasiasa wa chama cha Democratic huko Marekani wanataka kuzuia hatua ya serikali ya nchi hiyo kuiuzia Umoja wa Falme za
Merz atilia shaka marufuku ya vyama vya siasa kama AfD
Idara ya ulinzi wa katiba ya Ujerumani BfV ilikuwa imeiorodhesha AfD kuwa kundi linalotishia demokrasia.
Gachagua azindua chama kipya Kenya kujiandaa na 2027
Rigathi Gachagua azindua chama kipya cha DCP, akiahidi haki kwa wote na kushutumu mwelekeo wa chama tawala cha UDA.
Kansela wa Ujerumani aapa kuuimarisha tena uchumi
Merz na serikali yake mpya wanakabiliwa na changamoto kubwa ya uchumi.
Kansela Merz amkaribisha Waziri Mkuu wa Ugiriki Mitsotakis
Kansela mpya wa Ujerumani, Friedrich Merz, amemkaribisha Waziri Mkuu wa Ugiriki, Kyriakos Mitsotakis, mjini Berlin.
Mataifa ya Ulaya yatishia kuongeza vikwazo dhidi ya Urusi
Viongozi wa Ulaya watoa wito wa kuongeza shinikizo kwa Urusi ili ishiriki mazungumzo ya kidiplomasia kusitisha mapigano.
Ujerumani yakumbwa na mgawanyiko kuhusu chama cha AfD
Kuna wasiwasi unaozidi kuongezeka nchini Ujerumani kuwa jamii inazidi kugawanyika hasa kuhusiana na chama cha AfD.
Ujerumani na Israel: Maadhimisho chini ya kivuli cha vita
Ujerumani na Israel zinaadhimisha miaka 60 tangu kuanzisha uhusiano baada ya Vita Vikuu vya Pili vya Dunia.
Viongozi wa Ufaransa, Ujerumani, UK, Poland ziarani Ukraine
Viongozi hao wamesema wanaunga mkono mpango wa amani wa rais wa Marekani Donald Trump.
Dunia yaadhimisha miaka 80 ya mwisho wa Vita Kuu ya Pili
Dunia leo inaadhimisha miaka 80 tangu kumalizika kwa vita vya Pili vya Dunia vilivyodumu kwa muda mwa miaka 6.
Ujerumani yasitisha lebo ya itikadi kali dhidi ya AfD
Idara ya ulinzi wa katiba ya Ujeurumani, BfV iliiorodhesha AfD kuwa chama cha itikadi kali na tishio kwa demokrasia.
Ulaya yaadhimisha miaka 80 ya mwisho wa Vita Kuu ya Pili
Ulaya imeadhimisha miaka 80 ya mwisho wa Vita vya Pili vya Dunia, chini ya kivuli cha vita vinavyoendelea Ukraine.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 51
Ukurasa unaofuatia