You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Martin Schulz
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Baerbock achaguliwa Rais Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Baraza Kuu la UN limemchaguwa aliyekuwa waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ujerumani Annalena Baerbock, kuwa rais wake.
Baerbock aanza kazi kama Rais wa Baraza la Umoja wa Mataifa
Annalena Baerbock alichaguliwa kuwa rais mpya wa Baraza la Umoja wa Mataifa mwanzoni mwa mwezi Juni
Wasyria warejea taratibu kutoka Ujerumani, wasiwasi bado upo
Kufikia mwisho wa mwezi Agosti raia 1,867 wa Syria walikuwa wamerudi kutoka Ujerumani kwa msaada wa serikali kuu.
Wakimbizi wa Syria wameanza kurejea kwao kutoka Ujerumani
Ujerumani yajitahidi kuwarejesha kwa hiari makwao raia wa Syria.
Matumaini na chuki: Jinsi uhamiaji ulivyoibadili Ujerumani
Ujerumani imepitia mabadiliko makubwa tangu wimbi la wahamiaji la mwaka 2015, likileta matumaini na hofu kwa baadhi.
Serikali Ujerumani yaunga mkono kushushwa bei ya umeme
Serikali ya Ujerumani Jumatano imeunga mkono mswada tata wa kushusha bei za umeme nchini humo.
Miaka 10 ya kauli ya Merkel ‘Tutaweza!’
Miaka kumi baada ya Kansela Angela Merkel kusisitiza kwamba “tutaweza,” Ujerumani bado inapambana na athari za uhamiaji.
Ufaransa, Ujerumani kuipa msaada wa ulinzi wa anga Ukraine
Ufaransa na Ujerumani zimeahidi kuipa Ukraine vifaa zaidi vya ulinzi wa anga baada Urusi kuishambulia vikali.
Ujerumani, Ufaransa kujadili uchumi na ulinzi
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron watajadili mkuhusu ulinzi na uchumi
Iran: Tuko tayari kwa mazungumzo ya haki kuhusu nyuklia
Iran imearifu kwamba iko tayari kuanza tena mazungumzo ya haki kuhusu mpango wake wa nyuklia unazozaniwa.
Ujerumani na Ufaransa wazungumzia uchumi na usalama
Mkutano huo unaofanyika katika jiji la Toulon ndio wa kwanza tangu mabadiliko ya serikali ya Ujerumani mapema mwaka huu.
Macron, Merz wasisitiza uhusiano wa karibu kati yao
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amepongeza kurejeshwa kwa uhusiano wa karibu kati ya Ufaransa na Ujerumani.
Ulaya yalaani vikali mashambulizi ya Urusi Ukraine
Umoja wa Ulaya umemwita balozi wa Urusi nchini Ubelgiji baada ya mashambulizi makubwa mjini Kyiv yaliyosababisha vifo vy
Berlin yabadilisha jina lenye utata wa ubaguzi wa rangi
Barabara iliyokuwa na jina lenye utata Mohrenstrasse mjini Berlin imebadilishwa jina, baada ya malalamiko ya wakaazi.
Ujerumani yamfungulia mashtaka raia wa Urusi
Raia wa Urusi ashtakiwa kwa kupanga shambulio ubalozi wa Israeli Berlin na kwa nia ya kujiunga na kundi la IS Pakistan.
Ujerumani yaachukua wakimbizi 942 chini ya mpango wa Ulaya
Ujerumani imewachukua wakimbizi 942 kutoka nchi mbalimbali duniani kwa mwaka huu.
Wapinzani wa Urusi wazuiwa viza Ujerumani?
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani inasema inatekeleza makubaliano ya vyama vinavyounda serikali ya mseto.
Wadephul: Muhimu kusitishwa mapigano Ukraine
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Johann Wadephul amesisitiza tena umuhimu wa kusitisha mapigano nchini Ukraine.
Wapalestina wana hofu juu ya Israel kujenga makazi mapya
Eneo la E1 katika Ukingo wa Magharibi ni nyumbani kwa karibu watu 7000 wa jamii ya Bedouin
Wajerumani wengi waiona serikali ya muungano imegawika
Utafiti mpya wa maoni uliofanywa na shirika la habari la Ujerumani ZDF unaonyesha kwamba Wajerumani wanaona kuwa baada y
Zelenskiy akutana na Merz mjini Berlin
Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine amekutana kwa mazungumzo ya dharura na Kansela Friedrich Merz wa Ujerumani pamoja na
Ujerumani yakabiliwa na joto la kupindukia
Ujerumani inakabiliwa na joto kali la msimu wa joto Jumatano, huku viwango vya joto vikizidi nyuzi 30 kote nchini humo.
Uhusiano na Ujerumani umeathirika - Balozi wa Israel
Baraza la Ulaya zikiyataka mataifa wanachama wa Umoja wa Ulaya kuzuia upelekaji silaha Israel ikiwa zitatumika vibaya.
Vituo vya polisi Ujerumani viko katika hali mbaya mno
Vituo vya polisi Ujerumani viko katika hali mbaya na vina haja kubwa ya uwekezaji na urekebishaji wa vituo hivyo. Haya y
Merz kuzungumza na Trump,Zelensky kabla ya mkutano wa Alaska
Merz atawashirikisha viongozi wengine wa Ulaya kutoka Ufaransa, Uingereza, Italia, Poland na Finland.
Ujerumani yasitisha mauzo ya silaha kwa Israel
Uamuzi huo wa Israel unaendelea kupingwa na Umoja wa Mataifa, Wapalestina na jamii ya kimataifa
Mjumbe maalum Steve Witkoff atembelea kusini mwa Gaza
Wakati huo huo Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani ameionya Israel dhidi ya kuutwaa Ukingo wa Magharibi
Gaza: Moshi mzito wapaa karibu na hospitali ya Nasser
Hali ya ukosefu wa chakula inazidi kuwa mbaya huko Gaza na idadi ya vifo vya Wapalestina wanaosubiri misaada ikiongezeka
Waziri Wadephul wa Ujerumani ziarani Mashariki ya Kati
Wadephul na Abbas watajadili ghasia zinazoendeshwa na walowezi wa Israel dhidi ya Wapalestina Ukingo wa Magharibi.
Wadephul: Israel inazidi kutengwa kidiplomasia
Mkutano wa hivi karibuni wa Umoja wa Mataifa umeonyesha kuwa Israel inazidi kuwa katika nafasi ya upweke kimataifa.
Merz, Mfalme Abdullah wajadili udondoshaji msaada Gaza
Mazungumzo ya Merz na Mfalme Abdullah yamejikita pia katika kuleta suluhisho la kudumu kanda ya Mashariki ya Kati.
Ujerumani, Ufaransa, Uingereza kupeleka mawaziri wake Gaza
Ujerumani, Ufaransa na Uingereza zinafikiria kuwapeleka mawaziri wake wa kigeni kwenye Ukanda wa Gaza wiki ijayo.
IMF yatabiri ongezeko la ukuaji wa uchumi duniani
Shirika la Fedha la Umoja wa Mataifa IMF limetabiri utongezeko katika ukuaji wa uchumi duniani.
Afrika Kusini yapokea mkopo wa €500 milioni kutoka Ujerumani
Mkopo wa euro milioni 500 kutoka benki ya maendeleo inayomilikiwa na serikali ya Ujerumani kutolewa kwa Afrika Kusini.
Merz na Macron kusuluhisha tofauti zao Agosti
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron usiku wa kuamkia leo wamekubaliana kujaribu kusu
Ujerumani yashindwa kufuzu fainali ya Ulaya
Timu ya taifa ya kandanda ya Ujerumani imeshindwa kufuzu kwenye fainali ya mashindano ya kuwania ubingwa wa Ulaya baada
Merz na Macron kukutana na kujadili masuala mbalimbali
Merz amekuwa akisisitiza umuhimu wa mahusiano bora kati ya Ujerumani na Ufaransa.
Merz akabiliwa na shinikizo kuhusu msimamo wake kwa Israel
Ujerumani imejitenga na tamko kali la nchi za Magharibi kuhusu "mauaji ya kinyama" ya Wapalestina katika ukanda wa Gaza.
Uingereza na Ujerumani wasaini mkataba wa kuimarisha ulinzi
Uingereza na Ujerumani wasaini mkataba wa hihistoria kuimarisha ushirikiano na ulinzi.
Ujerumani yahamisha "wahalifu wa kigeni"
Ujerumani imethibitisha kuwarudisha kwao raia 81 wa Afghanistan waliopatikana na hatia ya jinai.
Nchi tatu za Ulaya zatishia kurejesha vikwazo kwa Iran
Iran imejibu kwa kusema haitorejea kwenye mazungumzo na Marekani kama hakuna hakikisho kuwa hitashambuliwa tena
EU inahitaji hatua madhubuti kukabili ushuru wa Marekani
Waziri wa fedha wa Ujerumani amesema EU itahitaji kuchukua hatua madhubuti kukabiliana na ushuru wa Marekani.
Dobrindt apuuza mvutano katika uteuzi wa majaji wapya
Mvutano ndani ya serikali ya muungano ya Ujerumani wachelewesha kuteuliwa kwa majaji wa Mahakama ya Kikatiba.
Kura ya jaji yaahirishwa, Ujerumani yaingia kwenye mgogoro
CDU yaahirisha kura kutokana na kuchapishwa madai ya "kugerezea" kazi ya kitaaluma dhidi ya Frauke Brosius-Gersdorf.
Ujerumani yaitaka Israel iepushe njaa Gaza
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Johann Wadephul Israel iepushe njaa Gaza
China yalaumiwa kuishambulia ndege ya kijeshi ya Ujerumani
China yalaumiwa kwa kuishambulia ndege ya kijeshi ya Ujerumani kwa kutumia mionzi mikali
Chama cha Kijani Ujerumani chatafuta mwelekeo mpya kisiasa
Chama cha Kijani kilipoteza uchaguzi wa Ujerumani na hakipo tena serikalini. Sasa, kinataka kujipanga upya na kusikiliza
Mjadala wa kupiga marufu AfD unakumbushia enzi za Kinazi
Weidel asema mjadala wa kupiga marufuku chama cha AfD unakumbushia enzi za Kinazi.
Wadephul: Kitisho cha Urusi kwa Ujerumani kisipuuzwe
Nchi wanachama za NATO zilikubali kuongeza matumizi yao ya ulinzi hadi asilimia 5 ya Pato la Ndani la Taifa.
Ujerumani na Ukraine kuimarisha ushirikiano wa ulinzi
Hayo yanajiri wakati Urusi ikizidisha mashambulizi yake.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 51
Ukurasa unaofuatia