Markus Söder ni mwanasiasa wa Bavaria. Ni waziri mkuu wa jimbo la Bavaria na kiongozi wa Chama cha Christian Social Union (CSU), mshirika wa kihafidhina wa Chama cha Christina Democratic Union (CDU) nchini Ujerumani.