You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Marine Le Pen
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mshikamano wa kimataifa
Ulimwengu mzima wakutana Paris dhidi ya Ugaidi
Sisi sote ndiyo Jamhuri!
Mshikamano uliyoonyeshwa wakati wa maandamano utadumu?
Viongozi wa dunia wajiunga na maandamano dhidi ya ugaidi
Viongozi wa dunia wajiunga na maandamano dhidi ya ugaidi
Obama hatahudhuria maandamano mjini Paris
Obama hatahudhuria maandamano mjini Paris
Mwanamke anayesakwa kwa Udi na Uvumba Ufaransa
Msako waendelea
Tafrani nchini Ufaransa
Mwanamume mmoja aliyejihami kwa silaha amewachukua mateka watu kadhaa katika soko la kosher linalouza vyakula vya Kiyahudi, mashariki mwa mji mkuu wa Ufaransa Paris, tukio lililosababisha watu kadhaa kujeruhiwa.
Shambulio nchini Ufaransa limeleta hofu Ujerumani pia
Huenda ni ubinadamu unaotusukuma katika hali hii, kwamba baada ya mshituko, hasira, na majonzi kuhusiana na shambulio la kigaidi dhidi ya jarida la dhihaka la Charlie Hebdo, hata hapa ujerumani ulinzi umeongezwa.
Msako wa washambuliaji wa Charlie Hebdo waendelea
Polisi wa Ufaransa wanaendelea kuwasaka watu wawili wanaowashuku kwa mashambulizi dhidi ya ofisi za jarida la Charlie Hebdo yaliyouwa watu 12, huku baadhi ya taasisi za Kiislamu zikishambuliwa.
Merkel na Cameron wajadili biashara na Umoja wa Ulaya
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ameahidi kumsaidia waziri mkuu wa Uingereza David Cameron kulitatua tatizo la watu wanaotumia vibaya mfumo wa nchi hiyo wa malipo ya uzeeni na msaada kwa wasiojiweza.
Magaidi waua tena mjini Paris
Watu 12 wameuawa kutokana na shambulio la kigaidi lililofanyika kwenye ofisi za jarida moja mjini Paris. Kwa mujibu wa taarifa, watu wengine zaidi ya 10 walijeruhiwa katika shambulio hilo.
Wanaseneti wa Ufaransa wataka Palestina itambuliwe
Baraza la Seneti la Ufaransa limepiga kura kuunga mkono azimio linaloitaka serikali ilitambue taifa la Palestina na kuhimiza mazungumzo yaanze haraka kati ya Israel na Palestina.
Uchaguzi utaitishwa Machi 17 nchini Israel
Wabunge wa Israel wamekutana kuupigia kura mswaada wa sheria itakayoruhusu kuitishwa uchaguzi wa kabla ya wakati kufuatia mzozo katika serikali ya muungano inayoongozwa na Benjamin Netanyahu.
Bunge la Ufaransa kupiga kura ''kuitambua'' Palestina
Bunge la Ufaransa linafanya mjadala juu ya pendekezo la kuitambua Palestina kama taifa, huku kukiwepo hali ya kukata tamaa barani Ulaya juu ya mkwamo katika mazungumzo ya amani ya Mashariki ya Kati.
Mwisho wa mazungumzo ya nyuklia ya Iran wawadia
Masaa yanazidi kuyoyoma kufikia muda wa mwisho yaliojiwekea mataifa sita yenye nguvu duniani pamoja na Iran kwenye mazungumzo yao ya kumaliza mkwamo wa miaka 12 kwenye mpango ya nyuklia wa Iran.
Marekani kuwapeleka wanajeshi zaidi Iraq
Marekani itatuma wanajeshi zaidi kwenye kampeni dhidi ya kundi la Dola la Kiislamu, huku jitihada za kimataifa dhidi ya kundi hilo zikiendelea. Ufaransa imesema vijana wengi wanajiunga kwenye makundi ya siasa kali.
Dunia yaahidi kuisaidia Iraq
Wanadiplomasia wa ngazi za juu duniani wameahidi kuisaidia Iraq katika kupambana na kundi linalojiita "Dola ya Kiislamui" kwa njia yoyote itakayowezekana, ukiwemo msaada wa kijeshi.
Ufaransa yaitisha kongamano dhidi ya Dola la Kiislamu
Rais Francoise Hollande na Fouad Massoum wanaongoza mkutano wa zaidi ya mataifa na mashirika 30 ya Magharibi na Arabuni unaojadili hatua za kukabiliana na wanamgambo wanaojiita Dola la Kiislamu.
Mashambulizi dhidi ya 'Dola la Kiislamu' yaiva
Juhudi za Marekani kukusanya uungwaji mkono wa kimataifa kwa kampeni yake ya kijeshi dhidi ya kundi linalojiita "Dola la Kiislamu" zinaonekana kuendelea kuzaa matunda kwa washirika kadhaa kujiunga nazo.
Serikali ya Ufaransa yajiuzulu
Waziri Mkuu wa Ufaransa, Manuel Valls, ametangaza kwamba serikali ya nchi hiyo inajiuzulu. Baraza jipya la mawaziri inatarajiwa kutangazwa Jumanne (26.08.2014). Hatua hii ni pigo kwa rais Francois Hollande.
Mawaziri wakubaliana kuyasimamisha mapigano mashariki mwa Ukraine
Mawaziri wa mambo ya nje wa Urusi,Ukraine,Ujerumani na Ufaransa wamekubaliana juu ya kuyasimamisha mapigano nchini Ukraine kwenye mkutano wao mjini Berlin. Lakini mapambano bado yanaendelea
Zilzala yatikisa Uchaguzi wa Bunge la Ulaya
Ushindi wa chama cha siasa kali za mrengo wa kulia nchini Ufaransa FN umegubika matokeo ya uchaguzi wa bunge la ulaya huku sauti za wenye kulalamika na wale wenye kuupinga umoja wa ulaya zikipata nguvu pia
Urusi na China zapinga Azimio la Ufaransa dhidi ya Syria
Jeshi la Syria limewatimua waasi waliokuwa wakiizingira jela ya mji wa Aleppo tangu mwaka mmoja uliopita.Wakati huo huo Urusi na China zimetumia kura za turufu kuzuwia azimio la baraza la usalama dhidi ya Syria
Wabunge wa Ujerumani waulaani ugaidi nchini Nigeria
Wabunge wa vyama vyote vya kisiasa nchini Ujerumani wameulaani ugaidi nchini Nigeria. Wakati nchini Nigeria kwenyewe maandamano makubwa yamefanyika kuonyesha mshikamano na wasichana waliotekwa nyara
Baba Mtakatifu aomba radhi
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameomba radhi juu ya vitendo vya uovu vilivyofanywa na baadhi ya makasisi wa kikatoliki
Hollande amchagua Waziri Mkuu mpya
Orodha kamili ya mawaziri katika serikali mpya ya Ufaransa inatarajiwa kutangazwa leo baada ya Rais Francois Hollande kufanya uamuzi wa kumteua Waziri wa Mambo ya Ndani Manuel Valls kuwa Waziri Mkuu.
Wasoshialisti waondolewa patupu Ufaransa
Siku moja tu baada ya wasoshilisti kushindwa vibaya sana katika uchaguzi wa mabaraza ya miji ya Ufaransa,rais Francois Hollande anashinikizwa na kila upande aivunje serikali na abadilishe pia mkondo wa siasa yake.
Rais Xi Jinping wa China afanya ziara Ufaransa
China na Ufaransa zinatarajiwa kufikia mapatano kadhaa ya biashara katika siku ya kwanza ya ziara ya kiserikali ya Rais Xi Jinping nchini Ufaransa.Jee ziara ya Rais wa China inafanyika wakati mwafaka kwa Ufaransa?
Mrengo wa Shoto Hamkani Ufaransa
Chama cha siasa kali za mrengo wa kulia nchini Ufaransa FN kimezusha maajabu katika chaguzi za mabaraza ya miji zilizogeuka onyo kwa chama tawala cha kisoshialisti na kuwaruhusu wafuasi wa kihafidhina kusonga mbele.
Wanajeshi wa Ulaya kutua CAR mwezi Machi
Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa kikosi chake kitakachopelekwa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati kitafanya hima kuunda ukanda salama katika mji mkuu wa nchi hiyo, Bangui, ambako raia wataweza kukimbilia na kujisikia salama.
Maoni juu ya Jamhuri ya Afrika ya Kati.
Ufaransa inahitaji kuungwa mkono kijeshi pia na Ujerumani katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.Mauaji yanayotokana na sababu za udini pamoja na vurumai ni tishio kwa eneo lote la Afrika ya Kati anasema Claus Stäcker
Hollande Afanya Ziara Marekani
Rais wa Ufaransa Francois Hollande yuko Marekani kwa ziara ya siku 3, ambapo anatarajiwa kuzungumza na mwenyeji wake Barack Obama juu ya masuala kadhaa, yakiwemo Syria, Iran na operesheni za kulinda amani barani Afrika.
Rais Hollande katika kashfa ya ngono
Rais wa Ufaransa Francois Hollande amekiri kuwa anapitia wakati mgumu yeye na mpenzi wake, baada ya jarida moja kuripoti kwamba kiongozi huyo alikuwa na uhusiano wa siri na muingizaji filamu mmoja wa kike.
Mkutano wa kilele wa Umoja wa Ulaya
Viongozi wa Umoja wa Ulaya Wanajiandaa Kuidhinisha Makubaliano ya Kihistoria ya Kuundwa Umoja wa Benki kati ya Nchi Wanachama wa Umoja wa Sarafu
Hollande aitaka Israel iache ujenzi wa walowezi
Rais Francois Hollande wa Ufaransa ameitaka Israel kuacha ujenzi wa makaazi ya Mayahudi katika Ukanda wa Magharibi na Jerusalem Mashariki, kwani ni kitisho kwa suluhisho la mataifa mawili huru, la Israel na Palestina.
Hollande akutana na Abbas, aijia juu Iran
Rais Francois Hollande wa Ufaransa yuko Ramallah, Mamlaka ya Ndani ya Palestina, akitokea Israel alikosisitiza kuwa nchi yake haitaacha msimamo mkali dhidi ya Iran hadi Iran ioneshe kwa vitendo kuacha mpango wa nyuklia.
Mkutano wa ajira ya vijana wa Ulaya mjini Paris
Viongozi wa umoja wa Ulaya wakikutana Paris kuzungumzia ajira miongoni mwa vijana karibu milioni sita wenye umri wa chini ya miaka 25.Mkakati maalum umepitishwa.
Mazungumzo ya nyuklia yamalizika bila mafanikio
Iran na mataifa sita yenye nguvu duniani yameshindwa kufikia makubaliano katika mazungumzo yaliyokusudiwa kupungunza nguvu za programu ya nyuklia ya Iran yaliyokuwa yakifanyika mjini Geneva, Uswisi.
Sakata la udukuzi: Marekani yaigeuka Ulaya
Wakuu wa ujasusi nchini Marekani 'wamewageuzia kibao' washirika wao wa Ulaya katika mgogoro unaohusu udukuzi wa mawasiliano ya simu, wakisema mashirika ya Ulaya ndiyo yaliyokusanya taarifa na kuzitoa kwa Marekani.
Ufaransa yataka Marekani iache udukuzi wa simu
Ufaransa imeitaka rasmi Marekani iache kudukiza mazungumzo ya simu ya raia wa Ufaransa lakini wakati huo huo imeashiria kutaka kuutuliza mzozo juu ya suala hilo.
Msichana wa Kiroma ruksa kurudi Ufaransa
Rais Francois Hollande wa Ufaransa Jumamosi(19.10.2013) amesema msichana wa kabila la Roma ambaye kurudishwa nchini kwao kulizusha maandamano makubwa ya wanafunzi ataruhusiwa kurudi Ufaransa lakini bila ya familia yake.
Marekani yataka kuungwa mkono na Waarabu
Marekani imesema Jumapili(08.09.2013) haifuti uwezekano wa kurudi tena kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kutafuta azimio juu ya mzozo wa Syria mara baada ya wakaguzi wa Umoja wa Mataifa kukamilisha repoti yao.
Rais Joachim Gauck nchini Ufaransa
Marais wa Ujerumani Joachim Gauck na wa Ufaransa Francois Hollande wamekitembelea kijiji cha Oradour sur -Glane nchini Ufaransa ambako mafashisti wa kijerumani walifanya mauaji halaiki wakati wa vita kuu vya pili.
Rais wa Ujerumani Joachim Gauck azuru Ufaransa
Rais wa Ujerumani Joachim Gauck yuko katika ziara ya siku tatu nchini Ufaransa. Leo (04.09.2013) atazuru magofu ya kijiji cha Oradour-sur-Glane pamoja na rais Francois Hollande wa Ufaransa.
Ufaransa kujadili uingiliaji kati Syria
Kwa mataifa matatu yenye kura ya veto katika baraza la usalama la Umoja wa Mataifa nia yao ni kuishambulia Syria. Lakini inaonekana pia kuwa hali inakwenda kinyume na matakwa yao.
Tishio la kigaidi katika mataifa ya Kiarabu na Asia
Marekani imefanya mkutano wa maafisa wa ngazi ya juu kufuatia wasiwasi wa kutokea vitendo vya kigaidi, ambavyo vimesababisha serikali ya taifa hilo kutoa tahadhari ya kusafiri na kuamuru kufungwa kwa balozi zake.
Uhusiano wa Amerika ya Kusini na Ulaya waingia mashakani
Rais Evo Morales wa Bolivia ametuwa hatimaye katika uwanja wa ndege wa El Alto baada ya misukosuko njiani. Kisa hicho kimezusha malalamiko katika nchi za Amerika ya kusini huku Ufaransa ikalazimika kuomba radhi.
Jeshi la serikali lauteka mji muhimu wa Qusseir
Wanajeshi wa serikali ya Syria pamoja na Hisbollah wameukomboa mji muhimu Qusseir na kuwalisha hasara waasi.Ushindi huo umetangazwa huku Ufaransa na Uingereza zikisema jeshi la serikali limetumia gesi ya sumu ya sarin
Ujerumani, Ufaransa zatoa msimamo wa pamoja
Viongozi wa Ujerumani na Ufaransa wameufungua ukurasa mpya baada ya miezi kadhaa ya mvutano kuhusu namna ya kuukabili mzozo wa kanda ya sarafu ya euro. Hii inafuatia ziara ya Kansela Angela Merkel Paris
Mchakato wa kutafuta amani Syria
Juhudi za kimataifa za kuumaliza mzozo wa Syria zimeshika kasi huku kukitarajiwa mazungumzo muhimu mijini Brussels na Paris kutafuta ufumbuzi wa mzozo wa Syria licha ya kuwepo migawanyiko miongoni mwa makundi ya upinzani
Ufaransa yahalalisha ndoa za jinsia moja
Wabunge wa Ufaransa wameidhinisha mswada wa kuhalalalishwa kwa ndoa za jinsia moja licha ya upinzani mkali na kuifanya nchi hiyo kuwa ya 14 kote duniani kuhalalalisha ndoa za mashoga.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 17 wa 20
Ukurasa unaofuatia