You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Marine Le Pen
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Serikali ya Ufaransa ukingoni kuporomoka
Serikali ya Ufaransa inakabiliwa na changamoto mbalimbali kuanzia za kijamii hadi za kiuchumi na kusababisha mzozo
Ufaransa: Viongozi wa Ulaya wamfikia Trump baada ya mkutano
Viongozi wa Ulaya wamezungumza na Donald Trump baada ya mkutano kuhusu Ukraine, kwa mujibu wa Ikulu ya Ufaransa.
Zelensky na Ulaya wakutana kusaka dhamana za usalama
Mkutano wa Ulaya wajadili mustakabali wa Ukraine na kujipanga na dhamana za usalama kwa Ukraine.
Viongozi wa Ulaya kukutana Paris kuijadili Ukraine
Viongozi wa Ulaya watakutana Paris Alhamisi.
Ufaransa, Ujerumani kuipa msaada wa ulinzi wa anga Ukraine
Ufaransa na Ujerumani zimeahidi kuipa Ukraine vifaa zaidi vya ulinzi wa anga baada Urusi kuishambulia vikali.
Ujerumani, Ufaransa kujadili uchumi na ulinzi
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron watajadili mkuhusu ulinzi na uchumi
Iran: Tuko tayari kwa mazungumzo ya haki kuhusu nyuklia
Iran imearifu kwamba iko tayari kuanza tena mazungumzo ya haki kuhusu mpango wake wa nyuklia unazozaniwa.
Ujerumani na Ufaransa wazungumzia uchumi na usalama
Mkutano huo unaofanyika katika jiji la Toulon ndio wa kwanza tangu mabadiliko ya serikali ya Ujerumani mapema mwaka huu.
Macron, Merz wasisitiza uhusiano wa karibu kati yao
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amepongeza kurejeshwa kwa uhusiano wa karibu kati ya Ufaransa na Ujerumani.
Hofu ya vita Ulaya yazua wimbi la uandikishaji jeshini
Wengi wana hofu kuwa uchokozi wa Urusi unaweza kuenea hadi nje ya mipaka ya Ukraine, Ufaransa yajipanga dhidi ya tishio.
Macron akiri makosa ya Ufaransa katika makoloni yake
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekiri makosa ya nchi yake katika makoloni yake kabla wakati na baada ya uhuru wa mata
Ujerumani, Ufaransa, Uingereza kupeleka mawaziri wake Gaza
Ujerumani, Ufaransa na Uingereza zinafikiria kuwapeleka mawaziri wake wa kigeni kwenye Ukanda wa Gaza wiki ijayo.
Guterres asisitiza suluhisho la nchi mbili Palestina, Israel
Baraza Kuu la UN limeendelea na mkutano kujadili suluhisho la mataifa mawili- Palestina na Israel
UN yajadili suluhisho la mataifa mawili huru
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa linajadili suluhisho la mataifa mawili ya Israel na Palestina.
Ufaransa yautaka Umoja wa Ulaya kuishinikiza Israel
Paris inasaka kukomeshwa kwa vita katika Ukanda wa Gaza, baada ya kuahidi kulitambua dola la Palestina.
Meloni apinga kuitambua Palestina kabla ya kuundwa rasmi
Meloni amesema uamuzi wa kulitambulia taifa huru la Palestina kabla ya kuundwa kwake huenda ni jambo "lisilo na maana".
Je, hatua ya Ufaransa kuitambua Palestina itasaidia amani?
Baadhi wamesifu hatua hiyo na kuitaja kuw aya kishujaa na wengine wamesema itachochea zaidi mzozo wa Mashariki ya Kati.
Ukosoaji dhidi ya Israel waongezeka kwa vitendo vyake Gaza
Mbali ya mashambulizi ya makombora na mizinga, sasa njaa inazidi kupoteza maisha ya wakaazi wa Ukanda huo.
Ufaransa kuitambua rasmi Palestina kama taifa huru
Rais Emmanuel Macron amesema Ufaransa italitambua rasmi taifa la Palestina mwezi Septemba.
Ufaransa yasema italitambua rasmi taifa la Palestina
Katika hatua ya kihistoria na yenye athari kubwa kidiplomasia, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kuwa nchi yak
Merz na Macron kusuluhisha tofauti zao Agosti
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron usiku wa kuamkia leo wamekubaliana kujaribu kusu
Merz na Macron kukutana na kujadili masuala mbalimbali
Merz amekuwa akisisitiza umuhimu wa mahusiano bora kati ya Ujerumani na Ufaransa.
Nchi tatu za Ulaya zatishia kurejesha vikwazo kwa Iran
Iran imejibu kwa kusema haitorejea kwenye mazungumzo na Marekani kama hakuna hakikisho kuwa hitashambuliwa tena
Macron na Starmer waapa kukabiliana na uhamiaji haramu
Uingereza na Ufaransa waapa kupambana na uhamiaji haramu, wakati wa mkutano wa kilele kati ya mataifa hayo.
Rais wa Ufaransa asema taifa la Palestina litambuliwe
Macron ataendelea na ziara yake ambapo atakutana na Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer
Macron aanza ziara ya siku tatu Uingereza
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameanza ziara ya siku tatu nchini Uingereza ambapo kati ya mengi, atalihutubia bunge.
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuzuru Uingereza Jumanne
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya kiserikali nchini Uingereza Jumanne ijayo,
Nchi 3 za Ulaya zalaani "vitisho" dhidi ya Mkuu wa IAEA
Iran imesema si tishio kwa mkuu huyo wa IAEA lakini inamtuhumu Grossi kwa kuchochea mashambulizi ya kwanza ya Israel.
Ujerumani, Ufaransa, UK zaahidi kuongeza matumizi ya ulinzi
Hatua hiyo inatarajiwa pia kuchukuliwa na Uingereza kama alivyoeleza Waziri Mkuu Keir Starmer.
Niger kutaifisha hisa za kampuni ya Urani ya Ufaransa
Niger kutaifisha hisa za kampuni ya Ufaransa ya kuchimba madini ya Urani
Ufaransa yajitathmini upya kwa makosa ya kihistoria
Ufaransa yachukua hatua kurekebisha dhambi za kihistoria: Dreyfus apandishwa cheo, waliorejea Indochina kufidiwa, Haiti
Macron ataka kubuniwa kwa miungano mipya ya kikanda
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema leo kuwa mgawanyiko uliopo kati ya nchi mbili zenye nguvu duniani za China na M
Waziri Israel asema ni wakati wa kutumia nguvu kamili Gaza
Waziri wa usalama wa taifa wa Israel anayeunga mkono siasa kali za mrengo wa kulia Itamar Ben Gvir, amesema, ni wakati w
Video ya Macron akipigwa na mkewe yazua gumzo mtandaoni
Video hiyo ilionesha mkono wa mke wa rais wa Urafansa Emmanuel Macron, Brigitte ukigusa usoni mwa rais Macron.
Vita vya Gaza: Ufaransa, UK na Canada zaikosoa vikali Israel
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aliwajibu viongozi hao kwamba kauli yao hiyo ni sawa na kulipatia "tuzo" kundi
Mali yakipiga marufuku chombo cha habari cha Ufaransa
Kama ilivyo kwa mataifa ya Burkina Faso na Niger, Mali pia inaongozwa na utawala wa kijeshi.
Viongozi wa Ufaransa, Ujerumani, UK, Poland ziarani Ukraine
Viongozi hao wamesema wanaunga mkono mpango wa amani wa rais wa Marekani Donald Trump.
Ujerumani, Ufaransa kuanzisha baraza la pamoja la usalama
Ujerumani na Ufaransa zimekubaliana kuunda baraza la pamoja la ulinzi na usalama.
Merz afanya ziara ya kwanza Ufaransa na Poland
Kansela mpya wa Ujerumani Friedrich Merz anafanya ziara yake ya kwanza knchini Ufaransa na kisha ataelekea Poland.
Mataifa yasaidia juhudi za kuzima moto wa nyika Israel
Nchi kadhaa zimetuma ndege za kusaidia juhudi za kuzima moto nchini Israel kutokana na moto mkubwa wa nyika.
Urusi yatuhumiwa shambulio la mtandaoni dhidi ya Ufaransa
Ufaransa imesema Urusi ilitumia aina ya ujasusi wa kijeshi unalojulikana kama "Fancy Bear".
Macron: Ufaransa na Poland kusaini "mkataba wa kirafiki"
Poland ni mshirika mkubwa wa jirani yake Ukraine.
Iran yapendekeza mazungumzo ya nyuklia na nchi za Ulaya
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Iran Abbas Araqchi amesema yuko tayari kuelekea Ujerumani, Ufaransa na Uingereza kwa m
Mkutano wa kujadili vita vya Ukraine wafanyika mjini Paris
Urusi imepuuzilia mbali mkutano huo.
Viongozi wa Marekani, EU na Ukraine kukutana mjini Paris
Viongozi wa mataifa hayo tayari wamewasili mjini Paris.
Algeria yatoa saa 48 kwa wanadiplomasia wa Ufaransa.
Ufaransa na Algeria zatumbukia zaidi kwenye mvutano wa kidiplomasia
Le Pen azuiwa kuwania uchaguzi kwa miaka mitano
Marine Le Pen ameikosowa hukumu ya kupigwa marufuku kuwania uchaguzi kwa miaka mitano.
Marine Le Pen apigwa marufuku kugombea urais wa mwaka 2027
Kupigwa marufuku kwa Le Pen kugombea urais wa mwaka 2027, ni mwelekeo mpya unaotishia kuzima azma yake ya kisiasa
Marine Le Pen apatikana na hatia ya ubadhirifu wa fedha
Hatua ya kupatikana na hatia kwa Marine Le Pen kwaiweka matatani azma yake ya kugombea katika uchaguzi wa urais wa 2027.
Macron awakaribisha viongozi wa Ulaya kuizungumzia Ukraine
Mkutano huo unafanyika baada ya rais wa Ukraine kukubali mapema mwezi huu kuendelea na mazungumzo ya kusitisha vita
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 20
Ukurasa unaofuatia