Katika jiko hili la kisasa, hakuna moshi, hakuna mashizi—ni mvuke tu unaofuka! Hapa, chakula cha wanafunzi nusu milioni kinaandaliwa kwa ufanisi mkubwa, kikitumia nishati safi na rafiki kwa mazingira. Je, teknolojia hii inabadilisha vipi maisha ya watoto wa shule za umma? Twende tukashuhudie!