Mapigano yazuka upya mashariki mwa Kongo
1 Oktoba 2008Matangazo
Mapigano yamezuka tena katika mkoa wa Ituri Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo baina ya majeshi ya serikali na yale ya waasi katika kijiji cha Bukiringi.
John Kanyunyu na taarifa zaidi.