Nchini Tanzania, 2025 ni mwaka mwengine wa uchaguzi mkuu, ambao umepangiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba. Kipi kinatokea ?, kipi kinatazamiwa kwa sasa na ipi itakuwa picha ya kisiasa baada ya uchaguzi huo? Ungana na Zainab Aziz na wachambuzi wa maswala ya kisiasa kwenye Maoni Meza ya Duara