Kwenye Maoni Meza ya Duara wiki hii mjadala ni juu ya mgogoro wa nchini Sudan ambao tangu uanze umeingia mwaka wa pili na mwisho wake wala haujulikani. Je raia wa Sudan wataepukaje vita hivi vya wenyewe kwa wenyewe. Nini kifanyike? Mtayarishaji Zainab Aziz