Kwenye Maoni mbele ya Meza ya Duara wiki hii wataalamu wetu wanaujadili tena mgogoro kati ya Urusi na Ukraine. Zaidi ya miaka mitatu baada ya Urusi kuivamia Ukraine majeshi ya Urusi bado yanaikalia takriban asilimia 20 ya nchi hiyo. Mapigano yanaendelea lakini wakati huo huo juhudi za kuleta suluhu zinafanyika kutoka kila upande. Mwenyekiti ni Zainab Aziz