Mwenyekiti mpya wa Tume ya Umoja wa Afrika, Mahmoud Ali Youssouf, anatakiwa kuzishughulikia changamoto lukuki zilizopo kama vile uasi unaoendelea katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mzozo wa Sudan na kuongezeka kwa tawala za kijeshi katika nchi za Afrika Magharibi. Je atafaulu? Jiunge na Zainab Aziz kwenye kipindi cha Maoni mbele ya Meza ya Duara.