Sudi Mnette anakualika kusikiliza makala ya Karibuni na wiki hii anazungumza na Auleria Gabriel, mwandishi habari wa kitanzania anayesoma shahada ya uzamili nchini Ujerumani. Pamoja na burudani ya muziki utasikia kipengele cha Kiswahili kina wenyewe na kile cha Je, Umeipata hiyo? Sikiliza.