Rais wa Uganda Yoweri Museveni afanya mazungumzo na rais wa Jamhuri ya Sudan Kusini Salva Kiir mjini Juba kuhusu mvutano wa kisiasa unaotokota nchini humo. Rais Felix Tshisekedi akutana na mjumbe maalum wa rais Trump wa Marekani kujadili uwezekano wa kuingia mkataba wa madini.Na Kenya,rais William Ruto akabiliwa na maandamano baada ya kutoa kitita cha fedha kanisani. Jiunge na Saumu Mwasimba