Nchini Kenya rais William Ruto na Raila Odinga wasaini makubaliano ya kisiasa ya kufanya kazi pamoja serikalini. Kundi la M23 bado laendeleza hujuma zake mashariki mwa Kongo ambako Umoja wa Mataifa umeonya juu ya kuandamwa kwa wanaharakati wa haki za binadamu. Guinea Bissau, hali ya wasiwasi iliongezeka kufuatia mvutano wa kisiasa baada ya kukataa kuondoka madarakani rais Embalo.