You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Mahamadou Issoufou
Mahamadou Issoufou anatokea kabila la Hausa na alizaliwa mwaka 1951.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Blinken aendelea na ziara barani Afrika
Blinken aendelea na ziara barani Afrika
Blinken aelekea Niger kuonyesha mshikamano zaidi wa Marekani
Akiwa Ethiopia, Blinken amesifu maendeleo katika utekelezaji wa mkataba wa amani wa kumaliza mzozo wa Tigray.
Wanajeshi 10 wauawa Niger na wanaoshukiwa kuwa magaidi
Idadi ya vifo huenda ikaongezeka kufuatia watu kadhaa kutoweka.
Bomu lawaua askari wawili wa kulinda amani Mali
Askari wawili wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa raia wa Misri, wameuawa kwa bomu
Afrika Kusini yakataa vikwazo dhidi ya Urusi
Tedros Adhanom Gebreyesus raia wa Ethiopia anakabiliwa na kibarua kigumu kuliongoza shirika la afya duniani WHO.
Kansela Scholz azungumzia ziara yake Afrika
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amemaliza ziara yake barani Afrika hivi karibuni. Lakini alipohitimisha alipata nafasi ya kuzungumza na DW kwenye mahojiano maalumu. Ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Scholz kuzuru Afrika tangu alipoingia madarakani. Hii ni sehemu tu ya mahojiano hayo.
Kansela Scholz azuru bara la Afrika
Wachambuzi wanatarajia ahadi za wazi na uongozi mpya kuchukua nafasi ya Ufaransa Afrika Magharibi.
Watu milioni 18 Ukanda wa Sahel kukabiliwa na baa la njaa
Baa la njaa litashinikiza idadi kubwa ya watu kuhama kutoka maeneo yaliyoathirika.
Kukuza michezo kwenye maji Niger
Mto Niger mbali na kutumiwa kwa shughuli zingine za maendeleo,wadau wa michezo kwenye maji wanautumia kukuza talanta za vijana wadogo, ikiwemo kuogelea, mbio za mitumbwi. Wanalo tumaini la kuibua wanamichezo, na mabalozi wazuri wa michezo ya majini.
Ujerumani Kupeleka wanajeshi wake Niger
Serikali ya Ujerumani imeunga mkono mabadiliko ya vikosi vyake viwili vilivyopo Afrika magharibi, kuwahamisha mamia ya wanajeshi kutoka Mali na kuelekea katika taifa jirani la Niger, hatua hii imebadili msimamo wa kimajukumu wa taifa hilo kutoka Ulaya kupeleka Umoja wa Mataifa.
Guterres: Niger isaidiwe kukabiliana na makundi ya jihadi
Wito huu unakuja ikiwa tayari ukanda wa Sahel umekuwa ukipambana na makundi ya itikadi kali yanayotekeleza mashambulizi.
Maji na Nishati: Siasa za Mabwawa
Mabwawa makubwa yanaweza kukuza uchumi na mamlaka. Lakini nini hutokea kwa jamii zilizoko chini ya mabwawa hayo?
Niger yaruhusu chanjo ya malaria kwa watoto
Hatua hiyo inalenga kupambana na ugonjwa huo ambao uliuwa zaidi ya watu elfu nne nchini humo mwaka wa 2021.
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani yupo nchini Mali.
Baada ya kuzuru Mali Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock atakwenda nchini Niger.
Afrika Magharibi katika hatari mbaya ya ukosefu wa chakula
Mashirika 11 ya kimataifa imetahadharisha Afrika Magharibi katika hatari ya ukosefu wa chakula.
Waziri Mkuu wa zamani wa Mali afariki dunia akiwa kizuizini
Rais wa Niger Mohamed Bazoum alishutumu kile alichoelezea kuwa ni mauaji ya mkongwe huyo wa siasa nchini Mali.
Watu 18 wauwawa katika shambulio Sahel
Raia kumi na nane wameuwawa katika mashambulizi mawili yanayoshukiwa kufanywa na wapiganaji wa jihadi nchini Niger.
Niger yawafukuza Wanyarwanda 8 wanaohusishwa na mauaji ya kimbari
Niger imeamuru kufukuzwa kwa Wanyarwanda wanane wanaohusishwa na mauaji ya kimbari ya mwaka 1994, mwezi mmoja tu baada ya kukaribishwa katika mji mkuu Niamey.
Machafuko Sahel yachangia njaa kwa mamilioni ya watu
Mvua zisizotabirika na machafuko vimefanya watu milioni 5.5 nchini Burkina Faso, Mali na Niger kukabiliwa na njaa.
Milipuko yatokea katika kambi ya UN nchini Mali
Milipuko miwili imetokea Mali siku ya Jumapili, katika kambi ya UN na mwingine katika kambi ya kijeshi Niger.
Boko Haram watwaa udhibiti jimbo la Niger
Kundi la kigaidi la Boko Haram limechukuwa udhibiti wa jamii kadhaa katika eneo la kaskazini kati mwa Nigeria.
Amnesty: Wenye silaha Niger wanauwa watoto zaidi
Amnesty: Wenye silaha Niger wanauwa watoto zaidi
Nigeria yathibitisha watoto 136 kutekwa nyara
Nigeria imethibitisha kutekwa nyara watoto 136 wa skuli moja ya Kiislamu katika jimbo la kati la Niger.
Watoto 20 wa chekechea wafariki nchini Niger
Watoto 20 wa chekechea wauwawa katika mkasa wa moto Niger
Milio ya risasi imesikia karibu na makazi ya rais Niger
Hali hiyo imezusha hofu ya jaribio la mapinduzi, siku chache kabla ya kuapishwa kwa rais mpya aliyechaguliwa.
Taarifa ya Habari ya Asubuhi Afrika Mashariki
Wakaazi wa vitongoji vya mji mkuu wa Myanmar, Yangon, wayakimbia makazi yao/ Umoja wa Mataifa waonya mzozo wa Yemen waendelea kushika kasi huku taifa hilo likitumbukia katika baa la njaa/ Na Niger leo yaanza maombolezo ya kitaifa kufuatia mauaji ya watu 58.
Rais Mahamadou Issoufou ameshinda Tuzo ya Mo Ibrahim
Rais wa Niger Mahamadou Issoufou ameshinda Tuzo ya Wakfu wa Mo Ibrahim ya 2020 kwa Mafanikio katika Uongozi wa Afrika.
Wanafunzi 279 waliotekwa nyara Nigeria waachiwa huru
Mamia ya wanafunzi wa kike waliokuwa wametekwa nyara Nigeria na makundi ya wahalifu wiki iiyopita, wameachiwa huru.
Raia wa Niger wapiga kura kumchagua Rais mpya
Niger ina historia ya kukabiliwa na mapinduzi.
Ufaransa na G5 kufanya mkutano wa kilele kuhusu ugaidi
Ufaransa pamoja na washirika wake watano wa eneo la Sahel wanakutana kuhusu uasi unaoendelea kwenye eneo hilo.
Taarifa ya habari, saa 12:00 Asubuhi (Afrika Mashariki)
Shambulizi la kigaidi lawauwa watu 56 Niger
Watu wenye silaha wamewauwa raia 56 na kujeruhi wengine 20 katika shambulizi baya kabisa nchini Niger.
Kura zaendelea kuhesabiwa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Zoezi la kuhesabu kura linaendelea nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati baada ya uchaguzi wa rais na bunge siku ya Jumapili.
Watekaji nyara wa Mmarekani nchini Niger wataka fidia
Watu wenye silaha waliomteka nyara raia wa Marekani Philip Walton kusini mwa Niger, wadai fidia ili kumuachia huru
Zaidi ya watu 200 wafariki kutokana na mafuriko Afrika
Mafuriko yaliyosababishwa na mvua kali yamewauwa watu 200 na kuwaacha wengine zaidi ya milioni moja bila makaazi.
Hatua ya Jumuiya ya ECOWAS yakosolewa nchini Mali
Jumuiya hiyo ya Ecowas imetoa ilani ya wiki moja kwa viongozi wa kijeshi kukabidhi madaraka kwa kiongozi mpya wa kiraia.
Jeshi la Niger lalaumiwa kwa raia 102 kupotea
Hayo ni kwa mujibu wa shirika la kutetea haki za binadamu la kitaifa la Niger.
Mapinduzi ya Mali yalaaniwa ndani na nje ya bara la Afrika
Askari hao waliounda Kamati ya Ukombozi wa Taifa wameahidi kuunda serikali ya mpito ya kiraia na kuitisha uchaguzi mpya.
UN yafunga kambi mbili za wakimbizi wa Mali nchini Niger
UN yafunga kambi mbili za wakimbizi wa Mali nchini Niger
Wanajeshi zaidi wa Mali wauawa
Jeshi la Mali lapata pigo tena baada ya wanajeshi wake watano kuuawa
Rais wa Mali kuunda serikali ya Umoja wa Kitaifa
Rais wa Mali Ibrahim Boubacar Keita ametangaza kuanzisha mchakato wa kuunda serikali ya umoja wa kitaifa.
Macron: Ulaya itaendeleza mapambano ya ugaidi eneo la Sahel
Macron: Ulaya itaendeleza mapambano ya ugaidi eneo la Sahel
Ufaransa na nchi za Sahel kutathmini vita dhidi ya ugaidi
Marais wa nchi za Sahel na Ufaransa wakutana ili kuongeza juhudi za kijeshi katika kukabiliana na wanamgambo .
Watoto katika ukanda wa Afrika Magharibi wako hatarini
Mashambulizi ya makundi ya wapiganaji yanatajwa kuathiri pakubwa elimu ya watoto
Jeshi la Niger lazuia mashambulizi ya Boko Haram
Niger yadai kumuua mmoja wa viongozi wa Boko Haram
Maambukizi ya virusi vya Corona Afrika yaongezeka
Mataifa ya Afrika yaimarisha hatua za kupambana na mripuko wa virusi vya Corona
Taarifa ya Habari Asubuhi 23.02.2020
Maelfu ya watu wamendamana kwenye mji wa Hanau, Ujerumani kupinga ubaguzi pamoja na makundi ya siasa kali za kizalendo // Shirika la Afya Duniani, WHO limesema watu wapatao 78,000 ulimwenguni wameambukizwa virusi vya Corona // Viongozi wa Uturuki, Urusi, Ufaransa na Ujerumani Machi 5, wataujadili mzozo katika jimbo la Idlib, Syria
Mataifa ya magharibi yajadili mgogoro wa Sahel bila Waafrika
Viongozi wakuu wa mataifa ya Magharibi wamejadili matatizo ya usalama katika kanda ya Sahel bila wakuu wa Afrika kuwepo.
Magaidi wauwana wao kwa wao Nigeria
Wanamgambo wa Boko Haram na wale wa kundi lijiitalo Dola la Kiislamu la Afrika Magharibi walikabiliana kwa risasi.
Mataifa ya Afrika yatafuta sauti zaidi katika mzozo wa Libya
Mataifa yanayopakana na Libya yanashinikiza kuhusika moja kwa moja katika mzozo wa nchi hiyo kuleta amani.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 8 wa 11
Ukurasa unaofuatia