You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Mahamadou Issoufou
Mahamadou Issoufou anatokea kabila la Hausa na alizaliwa mwaka 1951.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Marekani: Ushirikiano na Niger ni wa manufaa kwa pande zote
Marekani imeuelezea uhusiano wake wa kijeshi na Niger ni wa manufaa kwa pande zote.
Marekani yatathmini mustakabali wa operesheni zake Sahel.
Hatua hiyo inafuatia tangazo la Niger kuwa inasitisha ushirikiano wake wa kijeshi wa miaka mingi na Washington.
Harakati za kijeshi za Marekani hatarini eneo la Sahel
Uamuzi wa Niger unafuatia ziara ya maafisa wa vyeo vya juu wa Marekani mjini Niamey.
Nigeria yaagiza kufunguliwa kwa mpaka wake na Niger
Mwezi uliopita ECOWAS iliamua kuuondoa vikwazo hivyo, ila mpaka huo ukawa bado umefungwa.
Mataifa masikini bado yanayumba baada ya UVIKO 19
Baadhi ya mataifa hayo yenye viwango vya chini zaidi kuanzia mwaka 2022 ni Burundi, Mali, Sudan Kusini and Somalia.
Ujumbe wa maafisa wa Marekani waitembelea Niger
Ziara hiyo inalenga kurudisha mahusiano baada ya viongozi wa kijeshi nchini Niger kumuondowa rais aliyekuwepo mamlakani.
Niger, Mali, Burkina Faso zaunda kikosi cha kukabili uasi
Nchi zote tatu pia zilitangaza dhamira ya kujiondoa kwenye jumuiya ya ushirikiano wa kikanda ya ECOWAS.
Kikosi cha Ulaya Ukanda wa Sahel chatakiwa kuondoka Niger
Kikosi cha Umoja wa Ulaya kimetakiwa kuondoka Niger, siku chache baada ya Umoja huo kulaani mashambulizi dhidi yake.
Utawala wa kijeshi Guinea wamteua Oury Bah kuwa Waziri Mkuu
Bah atapewa jukumu la kushughulikia mvutano na vyama 13 vya wafanyikazi vilivyoitisha mgomo wa kitaifa.
ECOWAS yaombwa kutathmini hatua zake za kushughulikia mizozo
ECOWAS iliyawekea vikwazo mataifa yaliyojitoa kwenye muungano huo na kusababisha mengine kujiondoa.
Mkutano wa AU walenga kuimarisha sauti ya Afrika kimataifa
Mkutano wa Kilele wa Umoja wa Afrika utafanyika wakati bara hilo likikabiliwa na jinamizi la mapinduzi na mizozo.
ECOWAS yatoa wito wa umoja kwa nchi za Afrika Magharibi
ECOWAS: Kujiondoa kwa Mali,Niger na Burkina Faso kutasababisha matatizo yatakayoleta madhara zaidi kwa raia wa kawaida.
ECOWAS yatoa wito wa umoja
ECOWAS imetoa wito wa umoja baada ya mazunguzo ya dharura kuhusu uamuzi wa mataifa matatu kujitoa kwenye jumuiya hiyo.
Niger, Mali, Burkina Faso zashidwa kuheshimu sheria - ECOWAS
ECOWAS imesema mataifa ya Niger, Mali na Burkina Faso yameshindwa kuheshimu sheria kwa kujiondoa katika kundi hilo.
Upinzani Senegal waapa kupinga kuahirishwa uchaguzi
Nao mawaziri wa mambo ya nje wa kigeni wa ECOWAS wanakutana kwa dharura kujadili mkwamo huo wa kisiasa mjini Abuja.
Waziri wa Ujerumani kukutana na viongozi wa ECOWAS
Ziara ya Schulze imekuja kiasi wiki moja, baada ya kujiondowa kwa Burkina Faso, Mali na Niger katika jumuiya ya ECOWAS.
Maoni: Mali, Burkina Faso na Niger kujitoa ECOWAS
Mali, Burkina Faso na Niger zinapanga kujitoa kutoka kwa jumuiya ya kiuchumi ya Afrika Magharibi ECOWAS baada ya kukosolewa kwa kufanya mapinduzi. Kipi kinachoendelea katika jumuiya hii? Mvutano huu unatoa muelekeo gani kwa siku za usoni katika ukanda huu? Jiunge na Josephat Charo katika Maoni mbele ya Meza ya Duara.
ECOWAS kudhoofika baada ya wanachama wake 3 kujiondoa?
Mali, Niger na Burkina Faso zimejiondoa kwenye Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS.
Mzozo wa Sahel waendelea kufukuta
Umoja wa Ulaya unakabiliwa na mkanganyiko juu ya uwepo wa ujumbe wake uliosalia nchini Mali.
AU yasikitika Niger, Mali na Burkina Fasso, kujitoa ECOWAS
Umoja wa Afrika wasema "umefadhishwa" na kujiondoa Niger, Mali na burkina Fasso ndani ya ECOWAS
Nigeria yazikosoa Mali, Niger na Burkina Faso kujitoa ECOWAS
Nigeria imezikosoa Niger, Burkina Faso na Mali kwa kujitoa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS.
ECOWAS ni nini na kwanini mataifa matatu yamejiondoa?
Mvutano kati ya mataifa matatu yaliokuwamba na mapinduzi Afrika Magharibi na ECOWAS umeyapelekea kujitoa jumuiya hiyo.
Niger, Mali na Burkina Faso zajiondoa kutoka ECOWAS
Niger, Mali na Burkina Faso zimesema zinajiondoa kutoka kwenye Jumuia ya Uchumi ya nchi za Afrika Magharibi ECOWAS.
Niger, Mali na Burkina Faso zatangaza kujiondoa ECOWAS
Serikali za kijeshi za Burkina Faso, Mali na Niger zimetangaza kujiondoa mara moja ECOWAS.
Niger yasitisha uchimbaji madini hadi ukaguzi ufanyike
Niger imesimamisha kwa muda utoaji wa leseni mpya za uchimbaji wa madini na kuagiza ukaguzi wa sekta hiyo.
Wanajeshi 10 wa Niger wajeruhiwa, wanamgambo wauawa
Serikali ya Niger imesema wanajeshi wake 10 wamejeruhiwa kwenye mapigano katika eneo la kusini mashariki mwa nchi hiyo.
Mtoto wa rais wa zamani wa Niger aachiwa kwa dhamana
Salem Bazoum ameondoka Niamey kuelekea Lome, mji mkuu wa Togo, ambako aliwasili Jumatatu jioni.
Ufaransa yafunga ubalozi Niger kufuatia mapinduzi
Ufaransa yafunga ubalozi Niger kufuatia mapinduzi
Umoja wa Mataifa kusitisha safari za kibinadamu Niger
Hayo ni kutokana na ukosefu wa fedha huku jumla ya watu milioni 4.3 wakiwa wanahitaji msaada.
Niger yasitisha ushirikiano na shirika la IOF
Niger yasitisha ushirikiano na shirika la kimataifa la mataifa la IOF.
Ufaransa yamaliza shughuli ya kuwaondoa wanajeshi wake Niger
Muda wa mwisho wa kuondoka kwa wanajeshi hao ilikuwa jana Ijumaa
Ufaransa yawaondoa wanajeshi wake wa mwisho Niger
Jeshi la Niger limetangaza kuondoka kwa kundi la mwisho la wanajeshi wa Ufaransa siku ya Ijumaa, baada ya muongo mmoja.
Kundi la mwisho la kikosi cha Ufaransa kuondoka Niger leo
Kundi la mwisho la kikosi cha Ufaransa kuondoka Niger leo
Mahakama ya ECOWAS yaamuru Bazoum wa Niger kuachiwa
Mahakama ya ECOWAS, imeamuru kuachiliwa huru mara moja kwa rais wa Niger aliyepinduliwa.
ECOWAS wautambua utawala wa kijeshi wa Niger
ECOWAS imeunda kamati ya viongozi watatu kusaka makubaliano na utawala wa kijeshi wa Niger juu ya kipindi cha mpito.
ECOWAS: Juhudi za kukomesha mapinduzi hazijazaa matunda
Viongozi wa ECOWAS kwa mara ya kwanza wametambua kuwa juhudi zao za kukomesha mapinduzi ya kijeshi hazijazaa matunda
Viongozi wa ECOWAS wakutana mjini Abuja, Nigeria
Rais wa Nigeria Bola Ahmed Tinubu ndiye mwenyekiti wa sasa wa Jumuiya hiyo.
Niger na Togo wakubaliana kuimarisha ushirikiano
Marais wa nchi mbili hizo wakubaliana kushirikiana katika usalama wa kikanda na barabara inayounganisha Lome na Niamey.
Chad na Mauritania zafungua njia ya kufutwa muungano wa G5
Chad na Mauritania zafungua njia ya kufutwa muungano wa kiusalama wa G5.
Kundi la G5 kuvunjwa rasmi
Wanachama wawili waliobaki wa Muungano wa Afrika Magharibi wa G5 wameidhinisha kuvunjwa kwa kundi hilo.
Mali, Niger kujiondowa kwenye makubaliano na Ufaransa
Viongozi wa kijeshi wa Mali na Niger wamesema watafutilia mbali makubaliano ya ushuru na Ufaransa hivi karibuni.
Mali, Niger na Burkina Faso zakusudua kuunda shirikisho
Mataifa hayo matatu yataka kuunda shirikisho kama sehemu ya lengo la muda mrefu la kuunganisha eneo la Afrika Magharibi.
Niger yatengua sheria ya kuwabana wanaokwenda Ulaya
Utawala wa Niger watengua sheria ya kuwabana wahamiaji wanaokwenda Ulaya.
Sierra Leone yatangaza amri ya kutotoka nje
Mashuhuda wamesimulia milio ya risasi na milipuko mji mkuu wa Freetown huku wananchi wakishauriwa kusalia majumbani.
Kiongozi wa kijeshi Niger ziarani Mali na Burkina Faso
Kiongozi wa kijeshi Niger Jenerali Abdourahmane Tiani amekutana jana jioni na viongozi wenzake wa Burkina Faso na Mali.
HRW na Amnesty yataka viongozi kuwaachia huru wafungwa Niger
Mashirika ya kimataifa ya haki za binadamu yamelalamikia kamatakamata ya viongozi wa kijeshi nchini Niger.
Mashirika ya haki za binadamu yakosoa kamatakamata Niger
Mamlaka za Niger zimewakamata kiholela makumi ya maafisa wa serikali waliondolewa madarakani.
EU: Yaweka vikwazo kwa utawala wa kijeshi Niger
Umoja wa Ulaya umeuwekea vikwazo utawala wa kijeshi wa Niger uliochukua madaraka katika mapinduzi ya mwezi Julai.
Bazoum pamoja na familia yake wanaendelea vizuri
Duru zilizoko karibu na raisi aliyeondolewa madarakani Mohamed Bazoum zimesema, yeye na familia yake wanaendelea vizuri.
Bazoum yupo salama - jamaa
Jamaa wa Mohamed Bazoum anasema kiongozi huyo yupo na familia yake na anaendelea vizuri.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 11
Ukurasa unaofuatia