You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Mahamadou Issoufou
Mahamadou Issoufou anatokea kabila la Hausa na alizaliwa mwaka 1951.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Watu 60 wafa katika ajali ya boti nchini Nigeria
Kwenye kadhia hiyo watu wengine kadhaa wameokolewa.
Burkina Faso na Mali zakwepa mkutano wa ulinzi Nigeria
Niger ndio nchi pekee mwanachama wa AES iliyohudhuria mkutano wa wakuu wa ulinzi wa bara la Afrika mjini Abuja.
BurkinaFaso na Mali zasusia mkutano kuhusu ulinzi
-
Makoloni ya zamani ya Ufaransa, miaka 65 baada ya Uhuru
Alassane Ouattara amesisitiza umuhimu wa kutafakari hatua zilizopigwa na kuangalia mustakabali wa taifa lake.
Burkina, Mali zasusia mkutano wa ulinzi Afrika mjini Abuja
Maafisa wa ngazi za juu Afrika wanajadili mikakati ya pamoja kutafuta suluhisho la ndani kwa mahitaji ya ulinzi barani.
Hatma ya watu 40 haijulikani baada ya boti kuzama Nigeria
Watu zaidi ya 40 hawajulikani waliko baada ya boti kuzama Jumapili 17.08.2025 kaskazini magharibi mwa taifa la Nigeria.
Magenge yachochea uhalifu Sahel, Urusi yatelekeza ahadi
Uhalifu Sahel umedhoofisha utawala wa sheria, kuchochea vurugu na hata kusaidia makundi ya kigaidi kupata raslimali.
Niger kutaifisha hisa za kampuni ya Urani ya Ufaransa
Niger kutaifisha hisa za kampuni ya Ufaransa ya kuchimba madini ya Urani
Watu zaidi ya 100 wafariki kutokana na mafuriko Nigeria
Watu 115 wamethibitishwa kufariki dunia baada ya mafuriko kuukumba mji wa kibiashara wa Mokwa katika jimbo la Niger huko
Waziri mkuu wa zamani wa Chad ashikiliwa na polisi
Waziri mkuu wa zamani wa Chad na kiongozi wa upinzani Succes Masra, ameshikiliwa na polisi kwa muda leo baada ya kufika
Muungano wa AES waingia kwenye mvutano na Algeria
Tawala hizo tatu za kijeshi zimekiita kitendo cha Algeria kuwa kisichofaa na kilichokiuka sheria ya kimataifa.
Watawala wa kijeshi Sahel kutoa fursa kwa wazawa
Mataifa matatu ya magharibi mwa Afrika yaliyounda Mfungamano wa Sahel kujiondowa kwenye utegemezi wa kigeni.
Muungano wa AES wavutana na Algeria
AES yaingia kwenye mvutano wa kidiplomasia na Algeria
Mali, Burkina Faso na Niger zakataa kujiunga tena na ECOWAS
Rais wa Senegal asema Mali, Burkina Faso na Niger zina uhuru wa kufanya maamuzi
Niger yawaachia mawaziri wa serikali iliyopinduliwa
Utawala unasema ni utekelezaji wa maazimio ya kongamano la kimataifa lililofanyika mwezi Februari.
Mali, Burkina Faso, Niger zatangaza ushuru mpya
Lengo ni kukusanya fedha za kuufadhili muungano wao wa kisiasa na kiuchumi ulioanzishwa hivi karibuni.
Mali, Burkina Faso, Niger zaanzisha ushuru mpya wa pamoja
Ushuru huo umetangazwa ili kuusimamisha umoja mpya ulioundwa na mataifa hayo matatu.
Togo yadhihirisha dhamira ya kujiunga na Muungano wa AES
Uanachama wa Togo katika muungano huo utawezesha ufikiaji wa bandari na pia kufufua fursa mpya za biashara.
Mali yajiondoa katika nchi zinazozungumza Kifaransa
Msemaji wa muungano wa mataifa hayo matatu, alisema Burkina Faso, Niger tayari zilikuwa zimeamua kujiondoa.
Niger, Burkina Faso na Mali zaombwa kurejea ECOWAS
Niger, Burkina Faso na Mali zilijiondoa kwenye jumuiya ya ECOWAS mapema mwaka huu.
Wanajeshi 11 wauliwa kaskazini mwa Niger
Niger, Mali na Burkina Faso wanatarajiwa kuunda kikosi cha pamoja cha wanajeshi 5,000 cha kudhibiti usalama kanda hiyo.
Niger yaanza uchimbaji madini ya shaba ili kutanua mapato
Tangu kuchukua madaraka, utawala wa kijeshi umejaribu kuchukua udhibiti wa shughuli za uchimbaji madini.
Nchi 3 za Afrika zasaini mkataba wa bomba la gesi asilia
Mradi huo umepewa msukumo kutokana na ongezeko la mahitaji ya gesi na kupanda kwa bei ulimwenguni kote.
Mali, Burkina Faso na Niger zajitoa rasmi ECOWAS
Mataifa matatu ya Sahel ya Mali, Burkina Faso na Niger yamejitoa rasmi kwenye Jumuiya ya ECOWAS baada ya miaka 50.
Niger, Mali na Burkina Faso zaiaga rasmi ECOWAS
Mataifa hayo matatu sasa yameunda muungano wao wa ulinzi wa mataifa ya sahel AES.
ECOWAS kuamua juu ya uanachama wa Mali na Niger
Uamuzi wa Burkina Faso, Mali na Niger kujiondoa ECOWAS kuidhinishwa rasmi Jumatano.
Dozi milioni 10 za Chanjo dhidi ya Malaria zimetolewa Afrika
Karibu dozi milioni 10 za Malaria zilipelekwa Afrika katika awamu ya kwanza ya utoaji chanjo barani humo
Mataifa ya Sahel kuunda muungano dhidi ya wanajihadi
Waziri wa ulinzi wa Niger Salifou Mody, amesema kikosi hicho kitaanza kazi ndani ya muda wa wiki chache.
Mataifa ya Sahel kuunda kikosi cha kupambana na wanajihadi
Hatua hii inazihusisha Burkina Faso, Niger, na Mali, zinazotawaliwa kijeshi baada ya zote kukumbwa na mapinduzi 2020-23.
HRW: Majeshi, wanamgambo wanaua raia Afrika Magharibi
Takwimu hizo ni kwa mujibu wa shirika linalofuatilia mizozo la ACLED zilizotolewa katika ripoti ya karibuni.
ECOWAS yawapa watawala wa kijeshi muda wa mwisho kuamua
BurkinaFaso, Mali na Niger zinasema maamuzi yao ya kujitowa kwenye jumuiya ya ECOWAS hayawezi kubadilishwa.
Viongozi wa ECOWAS wakutana kwenye mkutano wa kilele
Mataifa matatu yanayoongozwa na wanajeshi kwenye ukanda huo yamejiengua tangu tawala za kijeshi ziliposhika hatamu.
Mashirika ya haki yataka mwanaharakati wa Niger aachiwe
Mashirika ya haki yataka mwanaharakati wa Niger aachiwe kutoka kizuizini.
Karibu watu 27 wafa maji baada ya boti kuzama, Nigeria
Abiria wengi walikuwa hawajavaa vifaa vya kujiokoa, hali iliyosababisha wengi kuzama majini na kufa.
EU yamrejesha nyumbani balozi wake Niger
Umoja wa Ulaya umemrejesha nyumbani balozi wake nchini Niger kwa sababu ya mzozo kuhusu mgao wa fedha za misaada.
Niger yafuta leseni, shirika la Acted la Ufaransa
Niger imefuta leseni ya shirika la Acted la Ufaransa. Shirika hilo sasa halitaweza kufanya kazi nchini humo
Niger yalifutia leseni shirika la NGO la Ufaransa la Acted
Niger ilianza kukata uhusiano na Ufaransa tangu utawala wa kijeshi ulipoingia madarakani Julai 2023.
Waasi wa Niger wanaotaka kuachiliwa kwa Bazoum wajisalimisha
Bazoum amekuwa chini ya kifungo cha nyumbani yeye na mkewe katika mji mkuu wa Niamey.
Kiongozi wa Guinea ajipandisha cheo na kuwa Jenerali
Kiongozi huyo wa kijeshi wa Guinea Mamadi Doumbouya, anaendeleza msako dhidi ya wapinzani
Mamluki wa Urusi "Wagner" wazidi kujiimarisha barani Afrika
Kundi hilo la Wagner linaendelea kujenga mitandao mingine ya shughuli mbalimbali barani Afrika.
Niger yapiga marufuku uuzaji wa nafaka nje ya nchi
Utawala wa kijeshi wa Niger umepiga marufuku mauzo ya nje ya nchi ya mchele, nafaka na vyakula vingine.
Niger yapiga marufuku uuzaji wa nafaka nje ya nchi
Adhabu kwa wale watakaokiuka agizo hilo ni kukamatwa kwa shehena na mashitaka ya jinai.
Watu 339 wafa kwa mafuriko Niger
Serikali ya Niger imesema watu 339 wamekufa baada ya mvua za msimu kusababisha mafuriko nchini humo toka mwezi Juni.
Watu 339 wafariki dunia kufuatia mvua kubwa Niger
Serikali imeahirisha kuanza kwa muhula mpya wa shule hadi mwishoni mwa mwezi Oktoba.
Kwanini Afrika Magharibi inaandamwa na ugaidi?
Hivi karibuni kundi la wanamgambo wa itikadi kali liliushambulia mji mkuu wa Mali wa Bamako hali inayozidisha wasiwasi.
Burkina Faso yatibua jaribio la mapinduzi
Luteni-Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba, anatajwa kuwa ndiye aliyeongoza mpango wa kijeshi wa njama ya mapinduzi.
Niger yazindua kampeni ya chanjo dhidi ya Malaria
Wagonjwa wa malaria milioni tano hurekodiwa nchini Niger kila mwaka huku zaidi ya watu 5,000 wakipoteza maisha.
Watu zaidi ya 70 waliuawa shambulio la Bamako
Ndege ya shirika la Mpango wa chakula WFP iliyokuwa ikitumika kwa shughuli za kiutu iliharibiwa katika shambulio hilo.
Jeshi la Marekani lahitimisha mchakato wa kuondoka Niger
Washington inaangazia mpango mbadala katika eneo la Afrika Magharibi lakini mchakato huu unakwenda taratibu.
Mali, Burkina Faso na Niger kuanzisha pasi mpya za kusafiri
Mataifa hayo yaliungana mwaka uliopita baada ya kuvunja uhusiano na mtawala wa kikoloni Ufaransa na kuigeukia Urusi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 11
Ukurasa unaofuatia