Maelezo ya Polisi juu ya kupatikana kwa Salma Said
Khelef Mohammed Mohammed/M M T21 Machi 2016
DW imezungumza na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Siro, juu ya suala la kupatikana kwa mwakilishi wa DW visiwani Zanzibar Salma Said baada ya kutoweka pale alipokamatwa na watu wasiojulikana