Makala ya Mbiu ya Mnyonge hii leo tunaangazia madhila ya wakaazi wa sehemu ya bonde la ufa ambao kwa muda mrefu wametumiwa kama chombo cha kampeini za siasa, viongozi wa serikali na wanasiasa wakikosa kuiangazia kikamilifu mizozo ya ardhi eneo hilo. Mwandaaji wa makala ni Wakio Mbogho.