Maandamano ya waandishi wa habari mjini Kinshasa,Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
28 Juni 2007
Waandishi wa habari mjini Kinshasa wamegoma leo na kuyavamia makao makuu ya jeshi mjini humo ili kupinga mauaji na vitisho wanavyofanyiwa waandishi wa habari nchini Kongo.