Mnamo mwaka wa 1985, dunia iliungana kwa njia isiyo ya kawaida kupambana na baa la njaa nchini Ethiopia. Miongo minne baadaye, kupunguzwa kwa misaada ya kibinadamu kunaibua swali: Kitu gani kilichobaki kutoka urithi wa Live Aid — na uko wapi mshikamano wa dunia leo?