LANDSTUHL: Rais wa Kosovo apokea matibabu Ujerumani
28 Agosti 2005Matangazo
Rais Ibrahim Rugova wa Kosovo ameletwa Ujerumani kupata matibabu baada ya kuwa na homa ya flu.Rugova mwenye umri wa miaka 61 siku ya jumamosi,alipelekwa kwenye hospitali ya kijeshi ya Marekani mjini Landstuhl kufanyiwa uchunguzi zaidi.