Klabu ya Simba Sports Club huko Tanzania imeshindwa kulinyanyua taji la mashindano ya CAF ya kombe la shirikisho baada ya kutoka sare ya bao moja na RS Berkane ya Morocco hapo Jumapili katika fainali iliyochezwa huko Zanzibar na kushindwa kwa jumla ya mabao 3-1 baada ya kupoteza mechi ya mkumbo wa kwanza 2-0 walipokuwa ugenini. Sikiliza uchambuzi wa Josephat Charo, Jacob Safari na Suleman Mwiru.