Baraza la Usalama la Israel limeidhinisha mpango wa kutaka kuichukua na kuikalia kimabavu Gaza na sasa kutazama athari zinazoweza kujitokeza kutokana na uamuzi huu wa baraza hilo la usalama la Israel, Jacob Safari amezungumza na mchambuzi wa siasa za kimataifa kutoka Tanzania Ibrahim Rahbi na kwanza alikuwa na haya ya ya kusema kuhusiana na athari zinazoweza kujitokeza.