Kongo yaongoza kwa idadi ndogo ya watumiaji wa benki
Saleh Mwanamilongo28 Desemba 2011
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yenye utajiri mkubwa wa rasilimali lakini umasikini mkubwa wa watu wake, inaongoza miongoni mwa mataifa yenye kiwango kidogo kabisa cha watu wanaoutumia huduma za kibenki.